AUBAMEYANG AFUNGA MAWILI NA KUIPELEKA ARSENAL ROBO FAINALI ULAYA - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

AUBAMEYANG AFUNGA MAWILI NA KUIPELEKA ARSENAL ROBO FAINALI ULAYA

Pierre-Emerick Aubameyang akishangilia kwa staili ya Wakanda Forever katika filamu ya Black Panther baada ya kuifungia Arsenal mabao mawili dakika za tano na 72 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Rennes kwenye mchezo wa marudiano hatua ya 16 Bora UEFA Europa League usiku wa jana Uwanja wa Emirates. Bao lingine lilifungwa na Ainsley Maitland-Niles dakika ya 15 na Arsenal inafuzu Robo Fainali kwa ushindi wa jumla wa 4-3 baada ya kufungwa 3-1 kwenye mchezo wa kwanza Ufaransa Continue reading ->


Source: Bin ZuberyRead More