AUSSEMS: Akiuchezea ule mziki wa Jangwani, inakula kwake mapema tu Simba - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

AUSSEMS: Akiuchezea ule mziki wa Jangwani, inakula kwake mapema tu Simba

SIMBA imeanza maisha mapya ikiwa na Kocha Mkuu Mpya, Patrick Aussems kutoka Ubelgiji. Kocha Aussems ndio kwanza anaingia wiki ya tatu tangu asaini mkataba wa mwaka mmoja wa kukinoa kikosi hicho cha mabingwa wa soka nchini.


Source: MwanaspotiRead More