Aussems: Neema inakuja Simba tulieni - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Aussems: Neema inakuja Simba tulieni

MASHABIKI wa Simba, wametoa somo kwa kocha wa kikosi hicho, Mbeligiji Patrick Aussems hii ni baada ya jana kujaza uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, wakati wa tamasha la Simba Day, jambo lililomfanya atamke kuwa ana deni kubwa katika ligi inayokuja.


Source: MwanaspotiRead More