Aveva, Nyange wafutiwa mashtaka ya utakatishaji fedha - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Aveva, Nyange wafutiwa mashtaka ya utakatishaji fedha

EVANS Aveva, aliyekuwa Rais wa Klabu ya Simba na makamu wake Godfrey Nyange, wamefutiwa mashtaka mawili ya utakatishaji fedha, kati ya mashtaka kumi yaliyokuwa yanawakabili katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam. Anaripoti Kelvin Mwaipungu…(endelea). Mashtaka hayo yamefutwa leo tarehe 19 Septemba 2019 na mahakama hiyo mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Thomas ...


Source: MwanahalisiRead More