Avril Afunguka Tuzo za Khaligraph Jones - Ghafla TZ | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Avril Afunguka Tuzo za Khaligraph Jones

Msanii wa muziki anaefanya vizuri nchini Kenya AVRIL  amefunguka na kuelzea hsia zake za furaha baada ya kusikia kuwa msanii mwenzake khaligraph jones ameshginda tuzo za FRIMA  nchini Marekani na kuziita habari hizo na habari njema.


Katika ukurasa wake wa instagram Avril alionyesha furaha yake hiyo kwa kuandika “waking up to a great news..congratulation khaliraph jones ….kenyatotheworld…keepingupurownpace…”


Khaligraph ni moja ya wasanii wachache walioibuka kidedea kwa nchi za Africa mwaka huu kutoka kenya huku kukiwa hakuna hata mmoja akitokea tanzania, lakini bado ushindi  wa wasanii hawa unaonyesha jinsi gani muziki wa Africa unatambulika nje ya nchi.


The post Avril Afunguka Tuzo za Khaligraph Jones appeared first on Ghafla!Tanzania.


Source: Ghafla TZRead More