AWCON 2018: Harambee Starlets, Uso kwa uso na Nigeria tena! - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

AWCON 2018: Harambee Starlets, Uso kwa uso na Nigeria tena!

Kenya inashiriki michuano hii kwa mara ya pili mtawalia, wakipata nafasi baada ya Equitorial Guinea kufungiwa kutokana na kumtumia mamluki kwenye michezo yake. Equitorial Guinea walimtumia Anette Jacky Messomo wa Cameroon katika mchezo wa makundi dhidi ya Kenya.


Source: MwanaspotiRead More