AWCON 2018: Ksh48 milioni zinahitajika maandalizi ya Harambee Starlets - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

AWCON 2018: Ksh48 milioni zinahitajika maandalizi ya Harambee Starlets

Jumla ya shilingi 48 milioni zinahitajika kufanikisha maandalizi ya timu ya taifa ya wanawake ya Kenya, Harambee Starlets, inajiandaa na michuano ya kombe la Mataifa ya Afrika (AWCON), yanayotarajiwa kutimua vumbi kuanzia Novemba 17 hadi Desemba mosi, mwaka huu, nchini Ghana.


Source: MwanaspotiRead More