AWESO AMLILIA RAIS DKT MAGUFULI BARABARA YA TANGA, PANGANI SAADANI - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

AWESO AMLILIA RAIS DKT MAGUFULI BARABARA YA TANGA, PANGANI SAADANI

NAIBU Waziri wa Maji na Umwagiliaji Jumaa Aweso na Mbunge wa Jimbo la Pangani (CCM) akizungumza na wananchi wa Jimbo hilo kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika sokoni mjini Pangani ambako pamoja na mambo mengine aliweza kusikiliza kero zao zinazowakabili. Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Pangani akizungumza katika mkutano huo.  NAIBU Waziri wa Maji na Umwagiliaji Jumaa Aweso na Mbunge wa Jimbo la Pangani (CCM) akiwa amebebwa juu na wananchi mara baada ya kumaliza kuwahutubia NAIBU Waziri wa Maji na Umwagiliaji Jumaa Aweso na Mbunge wa Jimbo la Pangani (CCM)kulia akiwa na Mkuu wa wilaya ya Pangani Zainabu Issa Abdallah wakifuatilia hoja za wananchi kwenye mkutano huo. MKUU wa wilaya ya Pangani Zainabu Issa Abdallah akimtunza msaanii Dkt NyauNAIBU Waziri wa Maji na Umwagiliaji Jumaa Aweso na Mbunge wa Jimbo la Pangani (CCM) kushoto akimtunza mmoja wa wananchi.Sehemu ya wananchi wa mji wa Pangani wakimfuatilia  NAIBU Waziri wa Maji na Umwagiliaji Jumaa Aweso na Mbunge wa Jimbo la Pangani... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More