Ayaa Yanga washtukiwa buana! - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Ayaa Yanga washtukiwa buana!

YANGA imepania nyie acheni tu. Unajua hesabu za sasa za mabosi wapya wa klabu hiyo ni kuhakikisha msimu ujao wanakuwa na kikosi kimoja matata sana, fasta wakaanza mipango ya kusaka nyota wapya na jicho lao lipo kwa klabu za Ligi Kuu Bara.


Source: MwanaspotiRead More