Azam FC: Nafasi ya tatu Ligi Kuu ni yetu - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Azam FC: Nafasi ya tatu Ligi Kuu ni yetu

Azam FC ambayo imesalia na michezo mitatu sawa na Yanga baada ya kucheza mechi 35 katika ligi yenye timu 20, wanashika nafasi ya tatu na pointi 68, Yanga ya pili yenye michezo 35 pia ni wa pili na pointi 80 wakati Simba wao ndiyo vinara wana pointi 81 na wamecheza mechi 32.


Source: MwanaspotiRead More