Azam FC wafunguka kuhusu Niyonzima - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Azam FC wafunguka kuhusu Niyonzima

KLABU ya Azam FC imethibitisha kuwa mpaka sasa hawajafanya mazungumzo yoyote na Haruna Niyonzima ambaye ni mchezaji wa timu ya Simba baada ya kuwapo kwa tetesi kuwa huwenda akatimka ndani kikosi hicho. Anaripoti Kelvin Mwaipungu … (endelea). Niyonzima ambaye amekuwa katika wakati mgumu tangu alipojiunga na Simba katika msimu uliopita, hajaonekana mara nyingi uwanjani katika ...


Source: MwanahalisiRead More