AZAM FC WAOMBA KURUDI TENA TAIFA, MECHI SIMBA NA YANGA - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

AZAM FC WAOMBA KURUDI TENA TAIFA, MECHI SIMBA NA YANGA


VINARA wa Ligi Kuu Tanzania Bara (TPL)  klabu ya Azam FC, imehamishia rasmi Uwanja wa Taifa mechi zake za nyumbani itakazocheza na Simba na Yanga kwenye Ligi Kuu  msimu huu.

Katika barua iliyoandikwa jana kuelekea Bodi ya Ligi Tanzania Bara (TPLB) na nakala yake kutumwa kwenye Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), imeeleza kuwa sababu kubwa ya Azam FC kufikia uamuzi huo ni kuwapa nafasi mashabiki wengi kushuhudia mechi hizo kutokana na udogo wa Uwanja wa Azam Complex.
“Uongozi wa Azam Football Club unaomba ofisi yako tukufu kurejesha mechi zetu za Ligi Kuu za nyumbani zinazohusisha timu za Simba na Yanga zichezwe katika Uwanja wa Taifa msimu huu 2018/2019 badala ya kuchezwa Uwanja wa wetu wa Azam Complex,” ilieleza barua hiyo.
Ikieleza sababu za kufikia uamuzlidai kuwa; “Hii ni kutokana na uwezo mdogo wa uwanja wa Azam Complex kuingiza mashabiki na wi huo, barua hiyo iliyoandikwa na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Azam FC, Abdulkarim Amini ‘Popat’, iatazamaji.”
Aidha barua hiyo pia iliel... Continue reading ->

Source: Issa MichuziRead More