Azam FC yaifanya Yanga ngazi - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Azam FC yaifanya Yanga ngazi

AZAM FC wamebakiza mechi mbili za Ligi Kuu Bara dhidi ya Mtibwa Sugar na Yanga, sasa benchi la ufundi la timu hiyo limepanga kuzitumia kama maandalizi ya kuivaa Lipuli katika fainali ya Kombe la FA Juni Mosi kwenye Uwanja wa Ilulu mkoani Lindi.


Source: MwanaspotiRead More