AZAM FC YAWAPA ONYO SIMBA SC MECHI YA NGAO, YAWAPIGA NAMUNGO 8-1 LEO CHAMAZI - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

AZAM FC YAWAPA ONYO SIMBA SC MECHI YA NGAO, YAWAPIGA NAMUNGO 8-1 LEO CHAMAZI

Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM
KATIKA kujiandaa na mchezo wa Ngao ya Jamii, timu ya Azam FC leo imeichapa mabao 8-1 Namungo FC ya Ruangwa mkoani Lindi katika mchezo wa kirafiki Uwanja wa Azam Complex, Chamazi mjini Dar es Salaam.
Azam FC, washindi wa Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC) watamenyana na mabingwa wa Ligi Kuu ya nchi, Simba SC Jumamosi Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam katika mchezo wa Ngao ya Jamii.
Na kuelekea mchezo huo maalum kuashiria upenuzi wa pazia la msimu mpya, Azam FC leo imeishushia kipigo kikali Namungo iliyopanda Ligi Kuu.

Mabao ya Namungo leo yamefungwa na Muivory Coast, Richard Djodi, Iddi Suleiman ‘Nado’, Salum Abubakar ‘Sure Boy’, Bruce Kangwa, Shaaban Iddi ‘Chilunda’, Obrey Chirwa, Abal Kassim Khamis na Iddi Kipagwile.
Simba SC ndio wanashikilia Ngao ya Jamii baada ya kuichapa Mtibwa Sugar 2-1 msimu uliopita Uwanja wa CCM Kirumba mjini Mwanza Agosti 18, mwaka jana.
Katika mchezo huo uliochez... Continue reading ->Source: Bin ZuberyRead More