Azam kutetea taji Kigali - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Azam kutetea taji Kigali

WATETEZI wa Kombe la Kagame kwa misimu miwili mfululizo, Azam watakuwa na kazi ya kutetea taji hilo kwa mara ya tatu mjini Kigali, Rwanda baada ya Baraza la Vyama vya Soka Afrika Mashariki na Kati (CECAFA) kutangaza ratiba yao ya mwaka.


Source: MwanaspotiRead More