Azam Tv kulipia mashabiki 250 kuziona Simba, Yanga - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Azam Tv kulipia mashabiki 250 kuziona Simba, Yanga

Kampuni ya Azam Tv yenye haki za kurusha matangazo ya Ligi Kuu Bara, imeweka wazi kuwa italipia wateja wao 250 kuangalia pambano la Simba dhidi ya Yanga kwenye Uwanja wa Taifa Septemba 30.


Source: MwanaspotiRead More