Azam TV yapata leseni ya kuonesha Chaneli za ndani bure - Teknokona | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Azam TV yapata leseni ya kuonesha Chaneli za ndani bure

Azam kuanza kuonesha chaneli za ndani bure ndani ya kipindi cha miezi 7. Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano imetangaza kuwa Kampuni ya Azam tayari imepewa leseni kutoka Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania inayoruhusu kurusha matangazo ya chaneli za bure. Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Atashasta Justus Nditiye [...]


The post Azam TV yapata leseni ya kuonesha Chaneli za ndani bure appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.


Source: TeknokonaRead More