AZAM WAANZA KUJIFUA KWA AJILI YA KUMVAA MNYAMA SIMBA NGAO YA HISANI JUMAMOSI - Mwanaharakati Mzalendo | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

AZAM WAANZA KUJIFUA KWA AJILI YA KUMVAA MNYAMA SIMBA NGAO YA HISANI JUMAMOSI

Kikosi cha Azam FC kimeanza mazoezi hii ikiwa ni maandalizi ya mechi ya Ngao ya Hisani dhidi ya Simba SC mchezo utakaopigwa Agosti 17 Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.


Akizungumza na BoiPlus Media Afisa Habari wa Azam FC Jaffar Iddy amesema, Kocha Mkuu Ettiene Nayiragije anautazamia mchezo huo kama sehemu ya kufanya marekebisho kwa ajili ya maandalizi ya mchezo wa marudiano wa Michuano ya Kombe la Shirikisho dhidi ya Fasil Kenema ya Ethiopia.
"Wote sisi Azam FC na Simba SC tulikuwa na mechi za kimataifa na tumejifunza kitu lakini kwa upande wa Kocha Ndayiragije amesema licha ya kuhitaji ushindi katika mchezo wa ngao ya hisani, atatumia kama sehemu ya marekebisho yetu kuelekea katika mchezo wa marudiano dhidi ya wapinzani wetu tutakaochezea hapa nyumbani Agasti 24". 
... Continue reading ->

Source: Mwanaharakati MzalendoRead More