Azam waomba mechi zao za Simba na Yanga kurudi Taifa, sababu ikiwa ni uwezo mdogo wa Azam Complex - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Azam waomba mechi zao za Simba na Yanga kurudi Taifa, sababu ikiwa ni uwezo mdogo wa Azam Complex

Uongozi wa klabu ya Azam FC, umeliandikia barua Shirikisho la mpira wa miguu nchini TFF kuliomba kurudisha michezo yao ya nyumbani dhidi ya Simba na Yanga kufanyika Uwanja wa Taifa badala ya kuchezwa Azam Complex kama ilivyozoeleka. 


Wakati sababu za maombi ya kubadilishiwa uwanja ni kutokana na uwezo mdogo uliyokuwa nao dimba la Azam Complex katika kuingiza mashabiki na watazamaji.The post Azam waomba mechi zao za Simba na Yanga kurudi Taifa, sababu ikiwa ni uwezo mdogo wa Azam Complex appeared first on Bongo5.com.... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More