AZAM WATUA KANDA YA ZIWA, KUCHEZA MECHI TATU UGENINI - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

AZAM WATUA KANDA YA ZIWA, KUCHEZA MECHI TATU UGENINI

Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii
KIKOSI cha Azam FC,kimefika salama  mkoani Shinyanga tayari kabisa kwa mchezo wake wa Ligi Kuu Tanzania Bara (TPL) dhidi ya Mwadui utakaofanyika Uwanja wa Mwadui Complex keshokutwa Ijumaa saa 8.00 mchana.

Azam FC imewasili ikiwa na kikosi chake kamili isipokuwa kiungo mshambuliaji, Tafadzwa Kutinyu, atayeungana na timu muda wowote kaunzia sasa akitokea kwenye majukumu ya timu ya timu yake ya Taifa Zimbabwe.
Wachezaji wengine wa Azam FC ambao hawajaungana na timu ni mshambuliaji Wazir Junior pamoja na beki Yakubu Mohammed na Donald Ngoma, ambao wanaendelea na programu ya kujiweka fiti kabla ya kuanza kucheza mechi za ushindani wakitoka kwenye majeraha huku Joseph Kimwaga, akiwa majeruhi.


"Wachezaji wote wameshaungana na timu isipokuwa Tafadzwa Kutinyu ambaye ataungana na wenzake muda wowote atakuja na ndege hadi Dar es Salaam halafu ataunganisha mpaka Mwanza na baadae kuja kuungana na wenzie hapa Shinyanga,"amesema Iddy.
Iddy amesema kuwa, baada ya mchezo huo ... Continue reading ->Source: Issa MichuziRead More