Azam waukamia ubingwa Bara - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Azam waukamia ubingwa Bara

AZAM FC imewahi kubeba mara moja tu taji la Ligi Kuu Bara msimu wa 2013-2014, lakini sasa unaambiwa Kocha Mkuu wake, Hans Pluijm amesema wanalitaka taji hilo tena na haoni sababu ya kuwazuia wasilibebe, licha ya ushindani uliopo msimu huu.


Source: MwanaspotiRead More