Azam yapania kulipa kisasi kwa Simba - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Azam yapania kulipa kisasi kwa Simba

Simba na Azam watacheza Leo kwenye uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam mechi ya mzunguko wa pili baada ya ile ya mzunguko wa kwanza Azam kulala kwa mabao 3-1 kwenye Uwanja wa Taifa.


Source: MwanaspotiRead More