Azam yapata ufadhili wa kuiua Lipuli fainali Kombe la FA - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Azam yapata ufadhili wa kuiua Lipuli fainali Kombe la FA

GF Trucks inayojihusisha na uuzaji wa magari na vipuli vyake, ni miongoni mwa kampuni chache ambazo zimekuwa zikitoa udhamini katika soka Tanzania na hadi sasa inazidhamini timu za Alliance na Mbao FC za Mwanza.


Source: MwanaspotiRead More