Azam yashika kombe mkono mmoja - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Azam yashika kombe mkono mmoja

Mabingwa watetezi wa Azam FC wanakwenda mapumziko wakiwa mbele kwa bao 1-0 dhidi ya Simba katika mchezo ulioshudiwa na mashabiki wengi waliojitokeza kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam.


Source: MwanaspotiRead More