B Hits wafunguka A-Z kilichowapeleka Mbudya na Pancho, wazungu wawili na kilichotokea (Video) - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

B Hits wafunguka A-Z kilichowapeleka Mbudya na Pancho, wazungu wawili na kilichotokea (Video)

Kampuni ya B’Hits ambayo ilikuwa inafanya kazi marehemu, Pancho Latino amefunguka kuzungumzia kwa mara ya kwanza toka producer wao huyo afariki kwa ajali ya maji baada ya kuzama katika kisiwa cha Mbudya. Afisa Muendeshaji Mkuu (COO) wa B’Hits, Amani Joachim afunguka kuzungumzia A-Z namna walivyoondoka ofisini wakiwa na Pancho pamoja na wazungu wawili ambao waliwakuwa wanataka kufanyakazi na mtayarishaji huyo.The post B Hits wafunguka A-Z kilichowapeleka Mbudya na Pancho, wazungu wawili na kilichotokea (Video) appeared first on Bongo5.com.


Source: Bongo5Read More