Baada ya Green Hair Ben Pol is giving us Fashion Foward or Fashion Disaster in this Look??? - 8020 Fashions | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Baada ya Green Hair Ben Pol is giving us Fashion Foward or Fashion Disaster in this Look???

Its always been said kwamba fashion has no rule which means waweza ku create your style by adding a little bit here and there but kuna wakati watu wanafanya vitu sababu tu its all in the name of fashion,ila saa ingine tunatakiwa kuwa cautious while at it ili tusi over do it.


Now Ben Pol was spotted jana akiwa kavaa a black shirt with holes big hole,limechanika sehem nyingi sana ,akiwa amevalia na Shorts nyeusi .


Kaachana na nywele zake za kijani sasa kaja na shati la kuchanika ndo ile style yetu ya INAKUWAAA.Nimependa alivyonyoa dang’a lake kama hivi


how do you see this look???... Continue reading ->


Source: 8020 FashionsRead More