Baada ya Jerusalem Trump ataka Irsael itwae mlima Golan, Syria - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Baada ya Jerusalem Trump ataka Irsael itwae mlima Golan, Syria

BAADA ya kuteka Mji wa Jerusalem kutoka Taifa la Palestina na kuukabidhi kwa Israel, sasa Donald Trump, Rais wa Marekani anaelekeza nguvu kuuteka mlima wa Golan, Syria kwa dhamira ile ile ya kuukabidhi kwa Utawala wa Israel. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa … (endelea). Trump Trump ameonesha nia ya kubadilisha Sera ya Marekani ya kutambua mlima wa ...


Source: MwanahalisiRead More