BAADA YA KUFANYA VIZURI JANA DHIDI YA LYON, DEMBELE ATAKUWA NJE KWA WIKI 3-4 - Mwanaharakati Mzalendo | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

BAADA YA KUFANYA VIZURI JANA DHIDI YA LYON, DEMBELE ATAKUWA NJE KWA WIKI 3-4


Winga wa klabu ya Barcelona, Ousmane Dembele atakuwa nje ya dimba kwa muda wa wiki tatu mpaka nne baada ya kuumia misuli ya nyuma ya paja.
Mabingwa hao wa Hispania wamethibitisha taarifa hizo baada ya Mfaransa huyo kukamilisha vipimo mara baada ya mechi ya jana ya Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Lyon waliyoshinda 5-1 huku yeye akifunga goli la 5. 


Source: Mwanaharakati MzalendoRead More