Baada ya kupita kwenye misuko suko, Maua Sama aachia video ya wimbo wake mpya ‘Iokote’ - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Baada ya kupita kwenye misuko suko, Maua Sama aachia video ya wimbo wake mpya ‘Iokote’

Baada ya kupitia kwenye misuko misuko kwa wiki mbili, hatimaye Maua Sama ameachia video ya wimbo wa Iokote aliomshirikisha Hanstone, video imeongozwa na Hanscana huku Audio ikigongwa na Abba.Kupitia wimbo huu, Maua Sama alijikuta akiingia kwenye mikono ya sheria baada ya kuposti video iliyokuwa inaonesha watu wakicheza huku wakikanya Fedha ya Tanzania.


SOMA ZAIDI – Breaking: Mtangazaji wa Clouds Fm Soudybrown na msanii Maua sama wamekamatwa na Polisi


 


The post Baada ya kupita kwenye misuko suko, Maua Sama aachia video ya wimbo wake mpya ‘Iokote’ appeared first on Bongo5.com.... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More