Baada ya kuweka rekodi ya usajili Man City, ni mwendo wa bata kwa Riyad Mahrez (+Picha) - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Baada ya kuweka rekodi ya usajili Man City, ni mwendo wa bata kwa Riyad Mahrez (+Picha)

Mchezaji mpya wa Manchester City, Riyad Mahrez ameonekana katika mitaa akila bata na familia yake ikiwa imepita saa chache toka kusajiliwa na klabu hiyo kwa kitita cha fedha kilichoweka rekodi kwenye historia ya timu hiyo.Rasmi Manchester City yamsajili, Riyad Mahrez kwa rekodi ya klabu


Kiungo huyo wa kimataifa wa Algeria, Mahrez amekamilisha usajili wa pauni milioni 60 mapema asubuhi ya leo na kuweka rekodi ndani ya klabu hiyo.Mahrez mwenye shauku kubwa na Manchester ameonekana kwenye mgahawa wa Kiitalia wa San Carlo unaopatikana Uingereza akiwa karibu na familia yake.
The post Baada ya kuweka rekodi ya usajili Man City, ni mwendo wa bata kwa Riyad Mahrez (+Picha) appeared first on Bongo5.com.... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More