Baada ya Lulu kubadilishiwa kifungo, Steve Nyerere atoa neno - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Baada ya Lulu kubadilishiwa kifungo, Steve Nyerere atoa neno

Msanii wa filamu, Steve Nyerere baada ya Muigizaji Lulu kubalidilishiwa kifungo na kutumikia kifungo cha nje amemkaribisha katika kujenga tasnia ya filamu.Steve kupitia mtandao wake wa Instagram, amedai kuwa Msanii huyo ameachiwa kwa msamaha wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli huku akisema kuwa amefanya jambo jema sana.


LULU NI.JAMBO LA.KUSHUKURU SANA KWANI KILA PITO NAAMINI MUNGU YUPO.PAMOJA NAWE,NICHUKUE NAFASI HII KWA DHATI KABISA KUMSHUKURU MH RAIS JOHN POMBE MAGUFURI KWA MSAMAHA HUUU NAAMINI UMEFANYA JAMBO JEMA SANA RAIS WANGU,NIIPONGEZE MAHAKAMA PIA NA WADAU WOTE MLIO KUWA MNAMUOMBEA MWENZETU KUTOKA ,FAMILY, NJOO LULU TEJENGE TASNIA YETU SASA ,..


Lulu alihukumiwa kifungo cha miaka miwili jela Novemba 13 mwaka jana baada ya kupatikana na hatia ya kumuua bila kukusudia msanii mwenzake, Steven Kanumba.

Loading...Jiunge na Bongo5.com sasa
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kup... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More