Baada ya Steve Nyerere Kupigwa Mawe Kila Kona Sakata la Ommy Dimpoz...Ameamua Kumuomba Msamaha Hadharani - Mwanaharakati Mzalendo | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Baada ya Steve Nyerere Kupigwa Mawe Kila Kona Sakata la Ommy Dimpoz...Ameamua Kumuomba Msamaha Hadharani


From @stevenyerere2  -  Kwanza nichukue fursa hii kumshukuru M/Mungu, lakini pili nichukue fursa hii kumuomba radhi ndugu yangu Dimpoz kwa namna alivyopokea kauli yangu niliyoitoa dhidi yake. Na zaidi niwaombe radhi Watanzania wote na wapenzi wa sanaa.
Binadam unapoona hapa umekosea busara inatutaka kukiri kukosea nami nakiri kukosea kutokana na ile kauli yangu kwa Dimpoz.
Lakini ifahamike kwamba kauli ile haikuwa kwamba namtakia mabaya Dimpoz HAPANA, ila kwa tulivyokuwa tunapata taarifa kwakweli zilikuwa zinatukatisha tamaa.
Mengi yanaongelewa lakini mfahamu kwamba sikuwa na nia mbaya au nilikuwa na ugomvi na ndugu yangu huyu bali kama binadam hutokea kuteleza kwenye kuzungumza hivyo nawaomba suala hili lisichukuliwe kwa nia mbaya HAPANA.
Lakini tufahamu kwamba M/Mungu hufanya miujiza yake kutokana na sababu fulani, hivyo miujiza ya kumuinua ndugu yetu na kurudi kwenye kazi zake imetokana na imani aliyokuwa nayo  Dimpoz kwa Muumba wake.
Najua mie niliteleza kusema kwamba  Dimpoz hatoimba... Continue reading ->


Source: Mwanaharakati MzalendoRead More