Baada ya wimbo alioshirikishwa wa pepeta kufanya vizuri, Rayvanny ameachia video ya Chuchumaa – Video - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Baada ya wimbo alioshirikishwa wa pepeta kufanya vizuri, Rayvanny ameachia video ya Chuchumaa – Video

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, ambaye yuko chini ya lebo kubwa ya muziki hapa Tanzania ya WCB ambayo inasimamiwa na Diamond Platnumz Rayvanny, ameachia video ya wimbo wake mpya ya Chuchumaa.Video hiyo imefanywa na Director Kenny wa Zoom ProductionBy Ally Juma.


The post Baada ya wimbo alioshirikishwa wa pepeta kufanya vizuri, Rayvanny ameachia video ya Chuchumaa – Video appeared first on Bongo5.com.... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More