Baba Levo aachiwa huru na mahakama  - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Baba Levo aachiwa huru na mahakama 

Msanii wa Bongo Fleva na diwani wa kata ya Mwanga Kaskazini (ACT) Crayton Chipando maarufu kama Baba Levo ameachiwa huru na mahakama ya hakimu mkazi Kigoma.Baba Levo alikuwa akikabiliwa na mashtaka matatu ya kushambulia, kufanya vurugu na lugha ya matusi dhidi ya muuguzi, Christina Gervas wa Zahanati ya Msufini.


Baba Levo akiwa mahakamani kwa tuhuma za kumfanyia vurugu muuguzi wa Zahanati, Christina Gervas


The post Baba Levo aachiwa huru na mahakama  appeared first on Bongo5.com.... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More