Babu tale afunguka ‘Siongeagi na Alikiba kivile, Sallam ameshaanza kuwasiliana na uongozi wa Alikiba’ (+Video) - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Babu tale afunguka ‘Siongeagi na Alikiba kivile, Sallam ameshaanza kuwasiliana na uongozi wa Alikiba’ (+Video)

Meneja wa Diamond Babu tale amefunguka mengi siku ya uzinduzi wa Wasafi festival pamoja na wasafi fm juu ya kuwepo kwa wasanii wawili ambao ni alikiba pamoja na Dudu baya katika tamasha hilo ambalo limeandaliwa na Wasafi media.
Mbali na kuzungumzia hilo lakini pia amezungumzia ukaribu wake na Alikiba na kusema:- “Siongeagi na Alikiba kivile, mimi naongeaga na meneja wake maana alishawahi kunisaidia sana, lakini kuhusu inshu ya Wasafi Festival Sallam ameshaanza kuwasiliana na uongozi wa Alikiba”By Ally Juma.


The post Babu tale afunguka ‘Siongeagi na Alikiba kivile, Sallam ameshaanza kuwasiliana na uongozi wa Alikiba’ (+Video) appeared first on Bongo5.com.... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More