Babu Tale athibitisha afya ya Hawa kuendelea vizuri na yuko tayari kurudi nchini - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Babu Tale athibitisha afya ya Hawa kuendelea vizuri na yuko tayari kurudi nchini

Meneja wa Diamond Platnumz, Babu Tale ametoa taarifa kuwa msanii wa muziki nchini Hawa Said maarufu kama Hawa wa Diamond anaendelea vizuri .Ikumbukwe Hawa alikuwa na tatizo la ini ila ni moyo ndio uliokua unapelekea mgonjwa kujaa maji mwilini na Babu Tale ndio alipewa jukumu la kusimamia matibabu yake nchini India kwa kuwa gharama zote za matibabu alizitoa Diamond Platnumz.


Ujumbe wa Babu Tale ni huu hapa:-By Ally Juma.


The post Babu Tale athibitisha afya ya Hawa kuendelea vizuri na yuko tayari kurudi nchini appeared first on Bongo5.com.... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More