Baila ya Diamond yaingia anga za Shah Khan - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Baila ya Diamond yaingia anga za Shah Khan

Wimbo mpya wa Diamond Platnumz unaitwa Baila akimshirikisha mpiga zeze maarufu wa Marekani, Miri Ben Ari umezua gumzo baada ya video yake kufananishwa na wimbo wa Shahrukh Khan katika filamu ya Jab Tak Hai Jaan.


Source: MwanaspotiRead More