Bajeti 2019/20: Enzi za kutegemea wajomba hazipo - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Bajeti 2019/20: Enzi za kutegemea wajomba hazipo

SERIKALI imesema kuwa, enzi za kutegemea wajomba zimekwisha na sasa, Watanzania washikamane na kufanya kazi kwa bidii. Anaripoti Dandon Kaijage, Dodoma … (endelea). Akisoma Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa Mwaka wa Fedha 2019/20 jijini Dodoma leo tarehe 13 Juni 2019, Dk. Philip Mpango, Waziri wa Fedha na Mipango amesema, Watanzania wanapaswa kushikamana katika kujenga Tanzania ...


Source: MwanahalisiRead More