Bajeti 2019/20 yasheheni mipango lukuki - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Bajeti 2019/20 yasheheni mipango lukuki

KATIKA mwaka wa fedha wa 2019/20 Serikali inakusudia kutumia bajeti ya shilingi tilioni 33,105.4 tofauti na bajeti mwaka wa fedha wa 2018/19 ambayo ilikuwa ni Sh. tirioni 32,476. Anaripoti Danson Kaijage…(endelea). Sambamba na hilo, vipaumbele vilivyopendekezwa katika bajeti ya mwaka wa fedha 2019/20 ni vinne wakati vipaumbele vya mwaka wa fedha 2018/19 vilikuwa 25. Kwa mujibu ...


Source: MwanahalisiRead More