Balinya na Kagere hesabu za kutisha ! - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Balinya na Kagere hesabu za kutisha !

RATIBA ya Ligi Mabingwa Afrika kwa msimu wa 2019/2020 imetolewa juzi na Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) ambapo wawakilishi wanne wa Tanzania Bara, Simba, Yanga, Azam na KMC wote wataanzia hatua ya awali.


Source: MwanaspotiRead More