Balinya,Sibomana washika ushindi wa Yanga kwa Zesco - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Balinya,Sibomana washika ushindi wa Yanga kwa Zesco

ACHANA na mkakati wa viongozi na mashabiki wa Yanga kuingia uwanjani wakiwa na vipensi kama ishara ya kumuunga mkono kocha wao, Mwinyi Zahera, lakini Yanga inajipanga vilivyo nje na ndani ya uwanja kuhakikisha inaibuka na ushindi mnono dhidi ya Zesco United kwenye mechi baina yao itakayochezwa keshokutwa Jumamosi katika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.


Source: MwanaspotiRead More