BALOZI AMINA SALUM ALI AFANYA MAZUNUMZO NA WANAFUNZI WA CHUO KIKUU CHA HARBAD - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

BALOZI AMINA SALUM ALI AFANYA MAZUNUMZO NA WANAFUNZI WA CHUO KIKUU CHA HARBAD

Na Ali Issa Maelezo -Zanzibar 
Ujumbe wa wanafunzi sita kutka Chuo Kikuu cha Harvad umefanya mazungumzo na Waziri wa Biashara, Viwanda na Masoko Balozi Amina Salum Ali Ofisini kwake Migombani.
Ujumbe huo upo Zanzibar kuangalia ubora wa chumvi inayozalishwa hapa nchini ukilinganisha na mataifa mengine ili hatimae iweze kutambulika na kuingia katika soko la kimataifa.
Akizungumza na Ujumbe huo Balozi Amina Salum Ali amesema Chumvi inayozalishwa Zanzibar ina ubora wa hali ya juu kutokana na mfumo unaotumika wakati wa uzalishaji na inaweza kutumika katika nchi yoyote duniani.
Amsema kufika kwa ujumbe huo ni mafanikio kwa mradi wa chumvi ya Zanzibar na ameeleza matarajio yake kuwa utasaidia kuhakikisha chumvi ya Zanzibar inaingia katika soko la kimataifa.
Aliutaka ujumbe huo kufanya uchunguzi wa kina kujua ubora wa chumvi ya Zanzibar na kuona tofauti iliyopo na chumvi inayozalishwa n nchi nyengine duniani.
Mbali na kuangalia ubora wa chumvi inayozalishwa Zanzibar, pia ujumbe huo utakagua kilimo ... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More