BALOZI MUHIDINI ALLY MBOWETO AKABIDHI HATI ZA UTAMBULISHO KWA RAIS BUHARI WA NIGERIA JIJINI ABUJA - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

BALOZI MUHIDINI ALLY MBOWETO AKABIDHI HATI ZA UTAMBULISHO KWA RAIS BUHARI WA NIGERIA JIJINI ABUJA

Mnamo Juni 7, 2018 Balozi wa Tanzania nchini Nigeria Mhe. Muhidini Ally Mboweto, alikabidhi Hati za Utambulisho kwa Rais wa Shirikisho la Jamhuri ya Nigeria Mhe. Muhammadu Buhari katika Ikulu ya nchi hiyo Jijini Abuja na kuhudhuriwa na mke wa Mhe. Balozi Hajat Ashura Ally Mboweto, Maafisa wa Ubalozi na viongozi mbalimbali wa serikali ya Nigeria. C:\Users\Elias\Desktop\Mhe. Kukabidhi Hati\Amb Tan (4).JPGMhe. Balozi akipokea salamu za heshima kutoka kwa askari wa jeshi la Nigeria kabla ya kukabidhi hati za utambulisho kwa Rais wa Shirikisho la Jamhuri ya Nigeria Mhe. Muhammadu Buhari katika Ikulu ya nchi hiyo Jijini Abuja
C:\Users\Elias\Desktop\Mhe. Kukabidhi Hati\Amb Tan (5).JPG                             Mhe. Balozi Mboweto akikagua gwaride kabla ya kukabidhi hati Hati za Utambulisho kwa Rais wa Shirikisho la Jamhuri ya Nigeria Mhe. Muhammadu Buhari katika Ikulu ya nchi hiyo Jijini Abuja C:\Users\Elias\Desktop\HC Tanzania\Amb Tan (27).JPGMhe. Balozi akielekea kwenye ukumbi wa Ikulu baada ya kukagua gwaride.Mhe. Rais Buhari akiwa na Waziri wa nchi (Mambo ya Nje) na Katibu wa Rais akimsubiri Mhe. Balozi.C:\Users\Elias\Desktop\HC Tanzania\Tan  (1).jpg   Mhe. Bal... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More