Balozi Ndobho afariki dunia - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Balozi Ndobho afariki dunia

BALOZI Paul Ndobho, aliyewahi kuwa Mbunge wa Musoma vijijini kupitia NCCR-Mageuzi, amefariki dunia katika Hospitali ya Bugando, jijini Mwanza. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Taarifa hiyo imetolewa leo tarehe 9 Septemba 2019 na Profesa Sospeter Muhongo, mbunge wa sasa wa jimbo hilo. Taarifa ya Prof. Muhongo inaeleza kuwa, Balozi Ndobho amefariki dunia jana tarehe 8 Septemba ...


Source: MwanahalisiRead More