Balozi: Palestina haitalegeza kamba - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Balozi: Palestina haitalegeza kamba

TAIFA la Israel limeondoa furaha yetu, linataka kuondoa utambulisho wetu katika ardhi ya Palestina, kamwe hilo halitafanikiwa. Anaandika Yusuph Katimba…(endelea). Kauli hiyo imetolewa leo tarehe 10 Oktoba 2018 na Hamdi Mansour AbduAli, Balozi wa Palestina nchini Tanzania alipoulizwa na wanahabari kuhusu kinachoendelea kwenye mgogoro wa taifa lake na Israel. Akiwa ofisini kwake jijini Dar es Salaam ...


Source: MwanahalisiRead More