BALOZI SEIF AITAKA TANTRADE KUIMARISHA MITANDAO YA BIASHARA TANZANIA - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

BALOZI SEIF AITAKA TANTRADE KUIMARISHA MITANDAO YA BIASHARA TANZANIA

Waziri wa Viwanda na Biashara, Innocent Bashungwa akizungumza wakati wa hafla ya kufunga Manoesho ya 43 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (DITF) yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere leo Alhamisi (Julai 11, 2019).Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Balozi Seif Ali Idd akimkabidhi cheti cha ushindi mmoja wa washiriki wa makampuni kutoka nchini Rwanda, wakati wa hafla kufunga Manoesho ya 43 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (DITF) leo Alhamisi (Julai 11, 2019)yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere.Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi, Balozi Seif Alli Idd akimkabidhi cheti cha ushindi mmoja wa washiriki wa makampuni yaliyoshiriki katika Maonesho ya 43 ya Biashara ya Kimataifa Dar es Salaam wakati hafla kufunga maonesho hayo leo Alhamisi (Julai 11, 2019) yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere.Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Balozi Seif Alli Idd akimkabidhi cheti c... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More