BALOZI SEIF ALI IDDI AITAKA TANTRADE KUIMARISHA MITANDAO YA KUWASAIDIA WAFANYABIASHARA - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

BALOZI SEIF ALI IDDI AITAKA TANTRADE KUIMARISHA MITANDAO YA KUWASAIDIA WAFANYABIASHARA


Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Balozi Seif Ali Idd akimkabidhi cheti cha ushindi mmoja wa washiriki wa makampuni kutoka nchini Rwanda, wakati wa hafla kufunga Manoesho ya 43 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (DITF) leo Alhamisi (Julai 11, 2019)yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere. Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi, Balozi Seif Alli Idd akimkabidhi cheti cha ushindi mmoja wa washiriki wa makampuni yaliyoshiriki katika Maonesho ya 43 ya Biashara ya Kimataifa Dar es Salaam wakati hafla kufunga maonesho hay oleo Alhamisi (Julai 11, 2019) yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere. Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Balozi Seif Alli Idd akimkabidhi cheti cha ushindi Afisa Habari Mwandamizi wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Bi Dorina Kaaya wakati wakati wa hafla kufunga Manoesho ya 43 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (DITF) leo Alhamisi... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More