BALOZI SEIF AWAASA WANANCHI KUWATUNZA WAZEE WAASISI WA ZANZIBAR - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

BALOZI SEIF AWAASA WANANCHI KUWATUNZA WAZEE WAASISI WA ZANZIBAR


Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akikabidhi msaada wa Tangi la kuhifadhia Maji safi, Mashine ya kusukumuia Maji pamoja na Luva ya kusafishia Msikiti wa Ijumaa wa Kijiji cha Umbuji akitekeleza ahadi aliyoitoa wakati wa Ufunguzi rasmi wa Msikiti huo Miaka michache iliyopia.Sheha wa Shehia ya Umbuji Wilaya ya Kati Bwana Muhamad Mrisho Juma akitoa shukrani kwa niaba ya Ungozi wa Msikiti huo kutokana na msaada huo adhimu.Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mh. Mohamed Aboud Mohamed akitoa shukrani kwa niaba ya Balozi Seif mara baada ya futari ya pamoja na Wazee wanaohifadhiwa Nyumba za Serikali Welezo.Balozi Seif akiagana na Wazee wanaohifadhiwa katika Nyumba za Serikali zilizopo Welezo mara baada ya kufutari nao pamoja akiendeleza utaratibu wake aliojipangia ndani ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhan. Picha na – OMPR – ZNZ.

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alisema Wazee Waasisi wa Zanzibar wataendelea kuwa ngao ya Taifa ambayo... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More