Balozi Seif awataka wawekezaji kuajiri wazawa - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Balozi Seif awataka wawekezaji kuajiri wazawa

 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi Kushoto akisalimiana na Meneja Mkuu wa Hoteli ya Kimataifa ya RIU Palace Zanzibar iliyopo Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja Bwana Luis Sanchez Sarda alipofika kukagua maendeleo ya ongezeko la ujenzi wa vumba vya kulala wageni. Balozi Seif akiupongeza uongozi wa Hoteli ya RIU Palace Zanzibar kwa kujikita katika uwekezaji ndani ya Sekta ya Utalii na kuwatahadharisha kuepuka ujenzi wa majengo yao kutumia makuti. Kulia ya Balozi Seif ni Mkuu wa Mkoa Kaskazini Unguja Mh. Vuai Mwinyi Mohamed na Meneja Mkuu wa Hoteli ya Kimataifa ya RIU Palace Zanzibar Bwana Luis Sanchez Sarda.Muonekano wa haiba ya Baadhi ya Majengo mapya ya vyumba vya kulala wageni ya Hoteli ya RIU Palace Zanzibar yaliyopo Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja. Picha na – OMPR – ZNZ.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi amewashauri Wawekezaji wa Mahoteli katika Sekta ya Utalii Nchini kuzingatia umuhimu wa kutoa fursa za ajira kwa Wazawa ili kudumisha m... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More