Balozi Seif kuimarisha michezo jimboni kwake - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Balozi Seif kuimarisha michezo jimboni kwake

  Mwakilishi wa Jimbo la Mahonda Balozi Seif Ali Iddi na Mbunge wa Jimbo hilo Bahati Abeid Nassir wakizungumza na Wanamichezo wa Mpira wa Pete wa Timu za Wadi za Mahonda na Fujoni kabla ya kuwakabidhi vifaa vya Michezo hapo Tawi la CCM Kitope “B”. Balozi Seif na Mbunge Bahati wakiwakabidhi Vifaa vya Michezo Viongozi wa Timu ya Mpira wa Pete ya Fujoni Mwanafatu Othman na Ramla Said. Balozi Seif na Mbunge Bahati wakiwakabidhi Vifaa vya Michezo Viongozi wa Timu ya Mpira wa Pete ya Mahonda Zawadi Aley na Zainab Issa.Balozi Seif akimkabidhi Kepteni wa Timu ya Mpira wa Pete ya Mahonda Fedha za Usafiri wa wachezaji hao kwa ajili ya kushiriki mchezo wa majaribio huko Mkokotoni Mkoa Kaskazini Unaguja. Picha na – OMPR – ZNZ.
Azma ya Uongozi wa Jimbo la Mahonda bado ipo pale pale katika kuhakikisha inaimarisha Michezo ili ifikie siku Jimbo hilo liwe na Timu iliyopevuka kimichezo na kushiriki Mashindano makubwa zaidi ya Kimataifa.
Mwakilidhi wa Jimbo hilo Balozi Seif Ali Iddi alisema ha... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More